Thursday, November 29, 2012

Mafunzo ya Uandishi wa habari kwa mtandao wa internet, Online Journalism, yaaanza kwa waandishi wa habari mkoani Mtwara.

Mtangazaji na mwmandishi wa Habari wa kituo cha Pride radio, Assady Mdimu, (kushoto) akipata maelekezo ya jinsi ya kufungua Blog, toka kwa mkufunzi wa mafunzo ya ONLINE JOURNALISM, Bw.Lukelo Mkami. 

Ni sehemu ya waandishi wa habari wa Mtwara Press Club wakifanya mazoezi kwa vitendo, jinsi ya kufungua blogs.

No comments:

Post a Comment