![]() |
![]() |
| Baadhi ya Madiwani na viongozi mbalimbali wa Serikali, waliohudhuria katika hafla hiyo leo. |
![]() |
| Kikundi cha Uhamasishaji cha Temeke, akikiwa ni miongoni mwa wageni waalikwa kilichokuwa kikiendelea na kazi yake ya uhamasishaji uwanjani hapo. |
![]() |
| Sehemu ya wananchi waliojitokeza kuhudhuria hafla hiyo. |
![]() |
| Picha ya pamoja kwa kumbukumbu. |
![]() |
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba, wakati akiondoka katika viwanja vya Mnazi Mmoja, baada ya kuzidua rasmi matokeo ya Sensa ya watu na makazi.
|







No comments:
Post a Comment