![]() |
| Hapa maandamano hayo yakitokea barabara ya Bima kupandisha ofisi ya mkuu wa moa wa Mtwara kuelekea uwanja wa Mshujaa. |
![]() |
| Maandamano yakishika kasi. |
![]() |
| Barabara ikiwa imezidiwa kwa wingi wa watu kuelekea uwanja wa mashujaa ambako mkutano mkubwa wa hadhara ulifanyika. |
![]() |
| Si akina dada, akinamama na vijana nao walikuwepo |
![]() |
| Mabango mbalimbali yalianikiza kuonyesha kupinga huko kwa kuondolewa kwa gesi. |
![]() |
| Umati wa wananchi ukiingia uwanja wa mashujaa, manispaa ya mtwara mikindani, mkoani mtwtara. |
![]() |
| Wananchi wakiwa watulivu wakiwasikiliza viongozi wa vyma vya upinzani wakinadi sera kuhusiana na gesi. |
![]() |
| Hata viongozi wa dini walikuwa mstari wa mbele. |
![]() |
| GESI HAITOKI, ndivyo bango linavyosomeka. |
![]() |
| Viongozi wa muungano wa vyama vya upinzani wakiongoza maandamano. |
![]() |
| Ni sehemu ya viongozi wa vyama vya upinzani wakitafakuri yanayoendelea kujri uwanjani hapo. |












No comments:
Post a Comment