Friday, December 28, 2012

CHANGAMOTO YA USAFIRI SUMBAWANGA YATESA ABIRIA.



  Sehemu ya barabara ikiwa imeharibika baada ya mvua kunyesha katika kijiji cha kianda,Sumbawanga.

Basi likiwa limekwama,jana asubuhi kijiji cha Kianda Sumbawanga.

'Greda' likisaidia kuvuta basi baada ya kukwama kwenye tope.Jana mchana,Kianda-Sumbawanga.

No comments:

Post a Comment