Kikosi cha timu ya Chama Cha
waandishi wa habari za Mizhezo TASWA FC kikiwa katika picha ya pamoja
kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kirafiki kati yake na timu ya Bagamoyo
Veteran uliofanyika kwenye uwanja wa Mawanakerenge Mjini Bagamoyo jioni
ya leo, ambapo timu ya TASWA FC imechapwa magoli 4-0 na maveterani hao
kutoka mjini Bagamoyo,Timu ya Waandishi wa habari ya TASWA FC imeshiriki
katika mchezo huo ikiwa ni moja ya programu ya mkutano wa chama hicho
unaotarajiwa kufanyika kesho kwenye hoteli ya Kiromo View mjini Bagamoyo
ambapo utafunguliwa na Ridhiwani Kikwete na Kufungwa na Mkurugenzi wa
Idara ya Habari Maelezo ndugu Assah Mwambene. |
No comments:
Post a Comment