Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimjulia hali Baba yake mzazi Mzee Savere Kayanza Pinda ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Moi Mzee Mizengo yupo hospitalini hapo baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la nyonga kulia kwa Waziri Mkuu ni muguzi mkuu wa zamu wodi hiyo, Edna Mhina na kushoto kwa waziri mkuu ni Donatila Kwelukila ambaye ni ofisa muuguzi chumba cha wagonjwa mahututi. |
No comments:
Post a Comment