Saturday, December 29, 2012

Naibu Waziri uso kwa uso na wasanii wa maigizo, jijini Dar es salaam.

Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiwa na mwigizaji, Raymond Kindosi (Ray) muda mfupi baada ya kumalizika kwa Mkutano wa wasanii na wadau wa Tasnia ya muziki uliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo leo.

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akizungumza wakati wa Mkutano huo.


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiwa na baadhi ya wasanii muda mfupi baada ya kumalizia kwa Mkutano huo.

No comments:

Post a Comment