Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha
ya pamoja na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa Luteni
Generali Babacar Gaye baada ya kuonana naye Ikulu jijini Dar es salaam
leo Januari 4, 2013.Kushoto Mbele ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi Juma Maalim, akifuatiwa na Mkuu wa
Majeshi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange, na wa pili kulia ni Balozi
wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi na
wengine ni maafisa waandamizi katika JWTZ na Umoja wa mataifa. |
No comments:
Post a Comment