Mapenzi
yao yalianza tangu binti akiwa kidaato cha tatu lakini halikuwa penzi
lenye mashamu shamu kwa kuwa wabababa alikuwa bado hajamiliki pesa na
heshima katika jamii inayomzunguka kama sasa mara tuu baada ya kuchukua
kifuta jasho cha bss na vijihela alivyopewa na mapapaa waliokubali kazi
aliioifanya
bss hivyo kuwa na kiburi kilichomfanya amtie mimba mwananfunz ambae
aligundulika kuwa ametoa mimba mara taarifa za mahusiano ya wababa na
mwanafunzi huyo kufikishwa kwa mama mzazi wa binti huyo.
Wababa
aliwekwa ndani kwa muda wa siku mbili na kesi bado ipo mahakamani na
wazazi wa binti wameapa kumweka ndani wababa na kumfanya kama Babu Sea
huku binti akiwa hajaonekana siku ya 4 sasa na kutokujulikana alipo kwa
madai anampenda wababa na wakimfunga tu nae anakunywa sumu.
|
Wababa akipiga ndogondogo kwa denti. |
|
Dili limeeleweka wakikatisha mitaa sasa full bata. |
|
Ilikuwa ni furaha, full bata sasa ni vilio na kusaga meno |
No comments:
Post a Comment