Monday, January 14, 2013

JAJI MKUU CHANDE, SPIKA MAKINDA WAONGOZA MAHAKAMA NA BUNGE KUTOA MAONI KATIBA MPYA .

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bi.Anne Makinda akiongea wakati wa utoaji maoni hayo.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman (wa pili kushoto) na Majaji wengine kutoka Mahakama ya Tanzania wakimsikiliza Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bi. Hanifa Masaninga akiwaeleza kuhusu uaandaaji wa maoni ya wananchi na kuwa katika mfumo wa taarifa rasmi (hansard) wakati Majaji hao walipotembelea ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment