Monday, January 14, 2013

OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MTWARA YAENDELEA KUPOKEA MISAADA MBALIMBALI YA WAHANGA WA MAFURIKO.

Mkuu wa wilaya ya mtwara, Willman Kapenjama Ndille, akiwa na waandishi wa Habari katika ukumbi wa ofisi hiyo, kabla ya kupokea msaada wa pesa taslimu Tsh 400000, na vyakula mbalimbali kutoka chama cha wananchi (CUF), manispaa ya mtwara mikindani.


Mwakilishi wa chama cha wananchi (cuf), Said Kulagha akimkabidhi mkuu wa wilaya fedha na boksi la sabuni.

Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Willman Kapenjama Ndille akizungumza na waandishi wa habari, wengine hawapo pichani.


Mkuu wa wilaya akiwa na viongozi wa chama cha wananchi (CUF) manispaa ya mtwara mikindani baada ya kutoa misaaada.


Mkuu wa wilaya hapa akipokea masaada kutoka shirika la maendeleo ya petrol Tanzania(TPDC), waliofika ofisini kwake.

Mkuu wa wilaya akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusiana na msaada alioupata kutoaka TPDC.

No comments:

Post a Comment