Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Sajuki katika makaburi ya Kisutu. |
Wadau mabali mbali wakisubiria mwili wa Marehemu Sajuki, huku Profesa Jay akionekana kwa mbali miongoni mwa wanaousubiri mwili. |
Umati wa watu ukiwa makaburini Kisutu Dar. |
Hapa ndipo sajuki amelala! May his soul R.I.P. |
Mwili wa marehemu Sajuki ukiwasili katika makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishi. |
No comments:
Post a Comment