Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi . |
Mbunge wa jimbo la
Arusha mjini Godbless Lema akichangisha fedha kwa ajili ya kufanikisha mikutano
ya chama hicho inayoendelea sasa maeneo mbalimbali nchini.
|
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akihutubia maelfu ya wananchi katiika viwanja vya Railway Njoro wakati wa mkutano wa hadhara . |
Vijana wa sarakasi wakionesha umahiri wao mbele ya Dk Slaa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway Njro mjini Moshi. |
Moja ya wakazi wa mji wa Moshi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akicheza wakati wa mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika viwanja vya Railway Njoro mjini Moshi. |
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiteta jambo na katibu wa chadema mkoa wa Kilimanjaro Basl Lema ,kulia kwake ni Dk Slaa. |
No comments:
Post a Comment