MIAKA 49 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, NA SHAMRA SHAMRA ZAKE......
Wafanyakazi
wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar wakifanya usafi katika maeneo ya
Ofisi yao Rahaleo mjini Zanzibar ikiwa ni shamra shamra za kuazimisha
miaka 49 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo kilele cha sherehe hizo ni January
12.
Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar wakifanya usafi katika
maeneo ya Ofisi yao Rahaleo mjini Zanzibar ikiwa ni shamra shamra za
kuazimisha miaka 49 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo kilele cha sherehe
hizo ni January 12.
No comments:
Post a Comment