Katika
hali isiyokuwa ya kawaida,mke wa kigogo mmoja ambae
anacheo kikubwa hivi karibuni alibambwa kwenye danguro moja lilipo
maeneo ya Sinza jijini Dar akijiuza.
Habari
zaidi toka kwa watu wa karibu wanaomjua mwanamke huyo maarufu kwa jina
la Mama Amina zinadai kuwa yeye ni mke wa pili wa kigogo mmoja anaefanya kazi kwenye
Wizara moja nyeti ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.
Aidha
watu hao waliiambia xdjayz Jijini Dar kuwa
mwanamke huyo alifikwa na balaa hilo katika msako mkali unaoendelea wa
Polisi Kanda ya Kinondoni wa kuwakamata machangudoa wote wanaojiuza.
Habari zaidi ziliendelea kusema kuwa kigogo huyo ana familia
nyingine ambayo inaishi maeneo ya Mbezi Beach .
Huyu Mama Amina
amempangishia nyumba maeneo ya Sinza Mori na amekuwa akimpa
huduma zote muhimu...
Cha kushangaza ni kwamba kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.
Cha kushangaza ni kwamba kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.
Mwandishi
wetu jana alifika kituo cha Polisi Oysterbay na kushuhudia kundi la
machangudoa hao wakipelekwa Mahakamani kwa gari ya Manispaa
pamoja na gari ya polisi akiwemo mwanamke huyo wa kigogo.
Machangudoa wakiwa wameziba nyuso zao zilisipigwe picha na mwandishi wetu. |
Mke wa mtu akiwa ameziba uso wake kwa mikono ili kukwepa kamara |
Mke wa mtu aliyesuka akiinamisha kichwa chini kukwepa kupigwa picha na kamera |
Mke wa mtu akiwa amejifunika uso kwa Khanga ili asipigwe picha. |
No comments:
Post a Comment