Sunday, April 21, 2013

HALI ILIVYOKUWA MECHI YA AZAM NA FAR RABAT TAIFA JANA.........................

Kiungo wa FAR Rabat ya Morocco, Mohammed El Bakalli akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Azam FC, Kipre Balou katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Tatu, Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

Khamis Mcha 'Vialli' kulia akimtoka beki wa FAR Rabat

Beki wa Azam FC, Waziri Salum akipanda kusaidia mashambulizi

Waziri Salum akimgeuza mchezaji wa FAR Rabat

Hatari kwenye lango la FAR Rabat

John Bocco akiwatoka mabeki wa FAR Rabat

John Bocco anakwenda na mpira...  

Mashabiki wa Azam wakishangilia timu yao bila kuchoka

Kipre Tchetche akimtoka beki wa FAR Rabat

Khamis Mcha 'Vialli' akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa FAR Rabat

Kiungo wa Azam Salum Abubakar akipasua

Kikosi cha FAR Rabat leo

John Bocco akimuinua Kipre Tchetche baada ya kugongeasha mwamba dakika ya 90 na ushei

Kikosi cha Azam FC leo

Kipre Tchetche akisikitika baada ya kukosa bao la wazi

Gaudence Mwaikimba akiwania mpira dhidi ya beki wa FAR Rabat

Kipa Ali Grouni wa FAR Rabat akipangua mpira ya John Bocco

Kipre kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa FAR Rabat

Kipre Tchetche kulia akimiliki mpira pembeni ya beki wa FAR Rabat

Waziri Salum na mchezaji wa FAR Rabat....

Beki wa FAR Rabat akiondosha mpira mbele ya Kipre Tchetche...   CHANZO/BinZubeiryBlogs.

No comments:

Post a Comment