Hapa ni Dar es salaam mtaa wa jamuhuri mkabala na makao makuu ya NMB, Kamera yetu ya mjengwa blog ilinasa tukio hili.
Hivi ndivyo wizi wa mifuniko unavyo hatarisha usalama wa watu na mali.
Anajaribu kutoka bila mafanikio.
Dereva lete "mshiko" tukusukume,
Halii hii mpaka lini? :Picha na mjengwa blog Dsm.
CHANZO/MjengwaBlogs.
No comments:
Post a Comment