Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kufungua barabara ya Tanga –
Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa
kilomita 65.14 akiwa ameongiozana na Naibu waziri wa wizara ya ujenzi,
Mhe Gerson Lwenge (kulia), Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa
Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani
nchini Mhe Alfonso Lenhardt, na mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe Chiku Gallawa
(kushoto)
Barabara ya Tanga – Horohoro ni sehemu
ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia
mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia
Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation –
MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya
Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.
Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya
Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja
la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi barabara ya Tanga –
Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa
kilomita 65.14 akisaidiana na Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu
wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani
nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu
ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia
mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia
Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation –
MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya
Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.
Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya
Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja
la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia baada ya kufungua rasmi barabara
ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na
urefu wa kilomita 65.14 akiwa na Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji
Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa
Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro
ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya
kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani
kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma
ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri
wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa
za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti kama kumbukumbu yaq ufunguzi
rasmi barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha
lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Kuhsorto kwake ni Bw. Daniel
Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa
Marekani (MCC), na kulia kwake ni Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso
Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara
inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga.
Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa
Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC).
Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu
ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha,
kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya
Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja
la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa
Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC) na viongozi na wadau
mbalimbali wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi rasmi wa
barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa
na urefu wa kilomita 65.14. Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni
sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya
kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani
kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma
ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri
wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa
za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Msafara
wa Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ukipita juu ya sehemu ya barabara ya
Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa
kilomita 65.14. Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya
barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa
wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia
Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC).
Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu
ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha,
kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya
Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la
Pamoja
la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Msafara wa Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete ukipita juu ya sehemu ya barabara ya Tanga – Horohoro ambayo
imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14.
Barabara hii ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha
Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu
umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za
Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa
barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya
kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. Aidha, kukamilika
kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya
na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya
Afrika Mashariki.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akishuhudia Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa
Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC) akipanda mti kama kumbukumbu ya
uzinduzi rasmi wa barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa
kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Kulia ni Balozi wa
Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii ya Tanga – Horohoro
ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya
kupitia mkoa wa Tanga. Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani
kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma
ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri
wa barabara. Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa
za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
CHANZO/Mjengwa Blogs.
No comments:
Post a Comment