Thursday, April 25, 2013

ZIARA YA MAKAMu MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), ZANZIBAR.

IMG_9808Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi Wilaya Mpya ya Mfenesini Mwera,alipofika Ofisi hapo kupata Taarifa ya kazi za Chama,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha CCM katika Mkoa wa Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_9822
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Mwera
Mtofaani leo alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi
Wilaya Mpya ya CCM Mfenesini Unguja,(wa pili kulia) Mwenyekiti wa Tawi
hilo Iddi Sultani.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9867 
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM
waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la Msingi Tawi la CCM
Mwera Mtofaani leo,jiwe hilo liliwekwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,  alipokuwa katika ziara ya kuimarisha
Chama cha Mapinduzi kwa Wilaya ya Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.] m 
 IMG_9891 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akiweka
udongo kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Tawi la CCM
Mtoni Kidatu juu leo, alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Cha
Mapinduzi Wilaya Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
  IMG_9936 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akifungua
pazia kuweka jiwe la msingi Maskani ya CCM ya Ali Hassan Mwinyi,Bububu
leo alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Wilaya
Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9945 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa
akiwasalimia wanamaskani ya   CCM ya Ali Hassan Mwinyi,Bububu leo
baada ya kuweka jiwe la msingi,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha
Chama Cha Mapinduzi Wilaya Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.] 
 IMG_9969 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea
risala ya Tawi la CCM Kihinani leo,kutoka kwa Katibu wa UWT jimbo
Rehema Haji Makame, baadaa ya kuweka jiwe la msingi Tawi
hilo,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Wilaya
Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0069 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akimkabidhi
kadi mwanachama mpya wa CCM Juma Bakari Ismal,wakati wa sherehe za
kukabidhi kadi wanachama wapya katika Uwanja wa Skuli ya
Chuini,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika
Wilaya Mpya ya Mfenesini Mkoa wa magharibi Unguja leo.[Picha na
 
Ramadhan Othman,Ikulu.]
  IMG_0073
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akimkabidhi
kadi mwanachama mpya wa CCM Amina Hassan Khamis,wakati wa sherehe za
kukabidhi kadi wanachama wapya katika Uwanja wa Skuli ya
Chuini,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika
Wilaya Mpya ya Mfenesini Mkoa wa magharibi Unguja leo.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

CHANZO/MjengwaBlogs.

No comments:

Post a Comment