Karoti
ina protini kidogo na haina mafuta kama tulivyoona kwa tunda la
avocado.pia ina asili ya wanga , na ni chanzo cha vitamini B, C, na E.
Aitha ina madini mengi ikiwemo madini ya chuma.
kuna kitu kinaitwa
beta-coratine ambayo imo ndani ya karoti na hii ikiingia mwilini
inabadilishwa na kuwa vitamina A.
Vilevile karoti ina kirutubisho
kinachoitwa fiber ambacho ni muhimu kwa kinga ya kuta za tumbo.
Karoti inasaidia kukinga na kuponya magonjwa kama macho hasa kutoona
gizani au kwenye mwanga hafifu,ngozi,kupunguza tindikali inayodhuru
tumbo na kukinga magonjwa yenye asili ya kansa.
Karoti inaweza kuliwa kwa
namna mbalimbali kama vile ikiwa mbichi kwa kutafunwa, inaweza kupikwa
na kuchanganywa na mbogamboga zingine , inaweza na kupata juisi ambayo
pia inaweza kuchanganywa na juisi zingine, aidha kukatwakatwa na
kuchanganywa kwenye saladi ya matunda na mbogamboga.
Machicha ya karoti
iliyosagwa yanaweza kutumika kama dawa kukinga ama kuponya maradhi ya
nje ya mwili.
JUISI YA KAROTIMAEMBE NI MUHIMU KATIKA KUTENGENEZA SELI ZA DAMU NA KUZILINDA NA BAKTERIA
PARACHICHI
LINASAIDIA NGOZI KUWA NA KINGA YA MAGONJWA SHAMBULIZI KUPITIA NGOZI
KAMA MBA NA INASAIDIA NYELE KUWA IMARA NA KUREKEBISHA
MAFUTA(CHOLESTEROL)
NYANYA NI KINGA NZURI YA INI LISIARIBIA AU KUSHAMBULIWA NA BAKTERIA
NDIZI MBIVU NDIO TUNDA PEKEE DUNIANI LENYE UWEZO WA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA UKIMWI
ONYO
KOKOMANGA NI TUNDA LENYE UWEZO MKUBWA KUPAMBANA NA KANSA ZA AINA ZOTE MWILINI.
NDIZI MBIVU NDIO TUNDA PEKEE DUNIANI LENYE UWEZO WA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA UKIMWI
ZABIBU LINAUWEZO MKUBWA KATIKA KUONGEZA DAMU MWILINI NA KUONGEZA NGUVU WAKATI WA UZEE SIKU ZAKO MAISHA DUNIANI ZIKAONGEZEKA.
ONYO
- EPUKA KUNYA JUISI ZA VIWANDANI HAZITENGENEZWI NA MATUNDA HALISI BALI NI KEMIKALI KALI KWA AJILI LA LADHA NA HARUFU YA TUNDA ZINAMADHARA KATIKA MWILI WA BINADAMU KAMA KANSA, INI KUHARIBIKA, DAMU KUWA NA SUMU, ZINAPUNGUZA UMRI WA KUISHI, TAKE CARE JIPENDE KWA KULA NA KUNYA KILICHO BORA.
No comments:
Post a Comment