Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika
kitabu cha maombolezo ya marehemu Meja Generali Makame Rashid, aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar es Salaam.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Meja Generali Makame Rashid,
Makamu wa Rais Dkt. Bilal akiwafariji wanafamilia wafiwa.
No comments:
Post a Comment