Wafanyakazi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, wakijiandaa kwa kupanga viti na vifaa vinginevyo kwa ajili ya kuanza kazi ya kutoa damu wafanyakazi wa kituo cha radio Pride Fm, Mtwara. |
Wafanyakazi wa Mpango wa Damu Salama Kanda ya Kusini wakishusha vifaa hivyo toka garini. |
Hapa wafanyakazi wa Pride Fm Radio wakihakiki damu zao kwa kuchukuliwa vipimo na mfanyakazi toka kitengo cha damu salalam Mtwara. |
Vipimo vya uzito vikiendelea kupata mtu sahihi wa kutoa damu hiyo |
Moja ya jumbe kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Mpango wa Taifa wa Damu salama Kanda ya Kusini. |
Mchango wa Damu uliopatikana kutoka kwa Wafanyakazi wa Pride Fm Radio, Mtwara. (PICHA ZOTE NA FARAJI FERUZI) karatatatu.blogspot.com. |
No comments:
Post a Comment