Hali ya mvua inayonyesha kwenye mkoa
wa Arusha imewaacha wakazi wa vijiji vya Alkokola na venginevyo kadhaa
kwenye kata hiyo wilaya ya Arusha wakiwa hawana makazi na mahala pakukaa
baada ya mvua kunyesha usiku wa kuamkia jana na Alfajiri ya leo
Pichani ni maji yakiwa yanashuka
kwenye maeneo ya Ngaramtoni ya Chini na Burka huku wakazi wa maeneo hayo
wakiyakimbia maeneo yao kama walivyokutwa na kamera yetu jioni ya
leo(picha zote na mahmoud ahmad)
Chanzo/MjengwaBlogs.
No comments:
Post a Comment