Jeshi
la Polisi nchini limekamilisha upepelezi kuhusu kesi inayomkabili
Wilfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Joseph kuhusu tuhuma za vitendo
vya ugaidi vinvyzomkabili. Jalada la kesi hiyo linaandaliwa kupelekwa
kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, DDP kwa hatua zaidi.
Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Isaya Mghulu akizungumza na wanahabari leo hii, amesema upelelezi huo umezingatia matukio mbalimbali ya uhalifu yaliyofanyika hapa nchini.
Kuhusu kumwagiwa tindikali kada wa CCM bwana Musa Tesha, katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Iguga mwezi Septemba wa mwaka 2011, tayari watuhumiwa wawili wamekwisha kufikishwa mahakamani na upelelezi upo katika hatua za mwisho. Endapo watabainika watuhumiwa wengine, nao watafikishwa mahakamani kwa muda muafaka.

CHANZO/MpekuziBlogs.
No comments:
Post a Comment