MKAZI WA IRINGA ACHOMWA MOTO KWA KUIBA PAMPU YA SH. 25,000.
Baba
Mzazi wa kijana Paul mzee Raphael Mtekele ( wa tatu kushoto akiwa
ameshika kiono )baada ya kukuta mwili wa mwanae umechomwa moto na
wananchi wenye asila kali.
Mwili
wa kijana Paul Raphael Mtekele ukiwa umefunikwa baada ya kuteketezwa
kwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kutuhumiwa kuiba pampu
ya kupulizia dawa mazao ya shilingi 25,000 katika kitongoji cha
Tosamaganga B wilaya ya Iringa vijijini usiku wa kuamkia leo
No comments:
Post a Comment