PICHA ZA YULE MBUNGE ALIYENASWA AKIZINI NA WANAWAKE WAWILI....
Huyu ndo ndo Bwana Mkubwa Willie Knuckles aliyekuwa waziri wa mambo ya
rais(Minister of Presidential Affairs) huko Liberia ambaye alilazimika
kujiuzulu baada ya picha zake zilizokuwa zikimwonyesha akifanya tendo
la ngono na wanawake wawili kusambazwa kwenye mtandao.
Kwakweli
bado haijaeleweka hasa walioamua kumsambaza mtandaoni walikuwa na
lengo gani naye...
Ilikuwa
ni aibu kubwa sana kwake na kwa familia yake,serikali ambayo yeye
alikuwa ni mhimili wake na hata wananchi wote wa Liberia (picha hii
nimekata "croping" makusudi kulinda maadili ya mtanzania,lakini
shughuli iliyokuwa inafanyika nafikiri inaonekana).
No comments:
Post a Comment