Tottenham imeiacha kwa pointi saba
Arsenal baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mechi ya
wapinzani wa jadi wa Kaskazini mwa London kwenye Uwanja wa White Hart
Lane.
Mabao mawili yaliyopatika dakika mbili kabla ya mapumziko yalitosha kumpa ushindi Andre Villas-Boas' na vijana wake.
VIKOSI...WAFUNGAJI
Tottenham: Lloris,
Walker, Dawson, Vertonghen, Assou-Ekotto, Dembele (Livermore 87),
Parker, Lennon (Gallas 90), Bale, Sigurdsson, Adebayor (Defoe 66).
Benchi: Friedel, Naughton, Holtby, Carroll.
Wafungaji: Bale dk37, Lennon dk39.
Kadi za njano: Vertonghen, Adebayor, Walker.
Arsenal: Szczesny,
Jenkinson (Rosicky 60), Mertesacker, Vermaelen, Monreal, Ramsey,
Arteta(Podolski 77), Walcott, Wilshere, Cazorla, Giroud.
Benchi: Mannone, Koscielny, Oxlade-Chamberlain, Coquelin, Gervinho.
Mfungaji wa bao: Mertesacker dk51.
kadi ya njano: Ramsey.
Mashabiki: 36,170.
Refa: Mark Clattenburg (Tyne & Wear).
Furaha: Wachezaji wa Spurs wakishangilia ushindi wa 2-1 wa timu yao dhidi ya Arsenal
Gareth Bale akivunja mtego wa kuotea wa Arsenal na kufunga bao la kwanza Uwanja wa White Hart Lane
Thomas Vermaelen akimtazama wakati Bale akishangilia bao lake
Bale akishangilia bao lake mbele ya mashabiki wa Spurs
Aaron Lennon alitumia udhaifu wa safu ya ulinzi ya Arsenal kufunga bao la pili
Lennon akimtungua Wojciech Szczesny
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akisalimiana na kocha wa Tottenham, Andre Villas-Boas
Jack Wilshere akiwa mwenye huzuni baada ya mechi.
ChanzoBinZubeiry.
No comments:
Post a Comment